Previous
Previous Product Image

Forex bible

TZS 4,500
Next

Forex – beginner’s guide

TZS 3,000
Next Product Image

facebook tangazo system (kitabu)

TZS 7,000

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category:

Description

Kitabu hiki ni sehemu ya mafunzo ya facebook. Tangazo system ambayo ni maalumu kwa ajili ya kuwafundisha wafanyabiashara namna ya kunasa wateja mtandaoni kupitia matangazo ya facebook na instagram.

 Dunia Inaenda Kwa Kasi

Teknolojia inakuwa kwa kasi na kubadilisha dunia na namna ya kuishi: intaneti kupitia mitandao ya kijamii imekuwa ndiyo njia kuu ya mawasiliano na kusambaza taarifa kwa haraka na kisasa hivyo imepelekea kuwa na ongezeko la watumiaji wa mitandao ya kijamii ambapo watu zaidi ya million nne (4) Tanzania wanatumia facebook na instagram kila siku. Idadi hii ni kubwa sana inayokuwezesha kupata soko la bidhaa au huduma unayouza.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “facebook tangazo system (kitabu)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping